Omiunu, Ohiocheoya and Aniyie, Ifeanyichukwu Azuka (2025) HATIFUNGANI YA KIJANI YA MIUNDOMBINU YA MAJI YA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA (TANGA UWASA) Ufadhili Bunifu au Utegemezi wa Ufadhili wa Kigeni? Other. Afronomicslaw (Submitted) (KAR id:115200)
|
PDF (Kiswahili version of already uploaded Policy Brief)
Supplemental Material
Language: Swahili |
|
|
Download this file (PDF/4MB) |
Preview |
| Request a format suitable for use with assistive technology e.g. a screenreader | |
Abstract
Barani Afrika, serikali ndogo (NCGs) (majimbo madogo, mikoa, miji, manispaa, serikali za mitaa, n.k.) zinakabiliwa na maongezeko ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Makabiliano haya yamepelekea mabadiliko kwenye zana za ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi, ili kukidhi upungufu wa ufadhili wa miradi ya upunguzaji na marekebisho ya ndani ya nchi. Mfano mmoja ni Hatifungani ya Kijani ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) nchini Tanzania-zana inayoibua maswali muhimu kuhusiana na wajibu wa madeni, kuweka kipaumbele miradi iliyo na faida kuliko mahitaji ya jamii, pamoja na hatari ya kufadhili huduma muhimu za umma. Katika utafiti wao wa 2024, Ohiocheoya Omiunu pamoja na Ifeanyichukwu Azuka Aniyie walichunguza kama hatifungani hizi za Tanga UWASA zinawakilisha uhamasishaji wa kweli wa mtaji wa ndani au zinaimarisha utegemezi wa kifedha za kigeni. Watafiti hawa wanahoji ya kwamba hatifungani ya Tanga UWASA ni mfano wa ahadi na mitego ya kwenye ubunifu wa ufadhili wa miradi ya mabadiliko ya tabianchi barani Afrika, inayofichua matatizo yanayokabili serikali ndogo za Kiafrika (SNGs) wanapopitia usanifu wa kifedha wa kimataifa ambao unauwezo wa kuhudumia maslahi ya nje zaidi kuliko mahitaji ya maendeleo ya jamii.
| Item Type: | Reports and Papers (Other) |
|---|---|
| Uncontrolled keywords: | Kshwahili Translation; Tanga; Tanzania; Climate Finance; Municipal Green Bonds; Subnational Governments |
| Subjects: |
H Social Sciences > HG Finance H Social Sciences > HJ Public Finance J Political Science > JS Local government. Municipal government J Political Science > JX International law K Law > K Law (General) |
| Institutional Unit: | Schools > Kent Law School |
| Former Institutional Unit: |
There are no former institutional units.
|
| Funders: | Open Society Foundations (https://ror.org/00qnfvz68) |
| Depositing User: | Ohiocheoya Omiunu |
| Date Deposited: | 15 May 2026 12:22 UTC |
| Last Modified: | 15 May 2026 12:22 UTC |
| Resource URI: | https://kar.kent.ac.uk/id/eprint/115200 (The current URI for this page, for reference purposes) |
- Link to SensusAccess
- Export to:
- RefWorks
- EPrints3 XML
- BibTeX
- CSV
- Depositors only (login required):

https://orcid.org/0000-0002-1723-2428
Total Views
Total Views